Zuchu Sukari
WCB Wasafi Records Diva, Zuchu is back with a brand new LOVE song tagged Sukari.
Furthermore, Sukari is a Love song That Talks About how Love is too sweet like Sugar that you cant get enough of it!
RELATED: Zuchu – Kwaru
Zuchu Sukari Lyrics
Eti nimemlambisha ananambia chombezaa (chombeza)
Tena nikiizidisha ananambia kolezaa (koleza)
Nikitaka kusitisha ananambia ongezaa (ongeza)
Japo imethibitishwa ila itampoteeza a
Ikipanda ni bala (naogopa)
Ikishuka ndo hatari (naogopa)
Asije pata madhara (naogopa)
Akaikosa na hali (naogopa)
Radha yake msalaa (naogopa)
Shila ya kizanzibar (naogopa)
Nami simnyimi wala
Akitaka nampa
Ai su kaari (nampatia)
A Sugar sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
A Sugar sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
Sugar sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
A Sugar sukari (nampatia)