Download | Zuchu Nyumba Ndogo | Mp3 Audio

zuchu nyumba ndogo

Download | Zuchu Nyumba Ndogo | Audio

Related Song: Zuchu – Mwambieni

Nyumba Ndogo Lyrics:

Aah Sina Ubayaa Sina Ubaya Nawee
Aah Ukinichukiaaa Wanionea Buree
Ahh Sina Ubaya Sina Ubaya Nawee
Mke Mwenza Ukichukiaa Wanionea Buree
Oo Sina Ubayaa Sina Ubaya Nawee
Ukinichukiaaa Wanionea Buree

Nasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni
Mke Mwenza Unanifaa Mie Nikiwa Mwezini
Kwangu Haiwezekani Kwako Bwana Anakaa
Mambo Kusaidiana Wala Usihuzunike
Sikuhizi Kushar? Mabwana Ndo Fasheni Kwa Wanawake
Eeh Jitahidi Chunga Sana Mw?nzangu Usiachike

Zuchu Nyumba Ndogo

Another Zuchu Related Songs: