Download | Kusah Hapana | Mp3 Audio
Related: Kusah Najua
Hapana Lyrics
Hata waseme nini sikuachi
Ndio kwanza umepanda na chati
Umenidhibiti umeshika na shati
Umeshinda umevunja kamati
Mara nikuache ukadange
Baby mi hapana, kukuacha hapana
Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana
Baby mi hapana, kukuacha hapana
Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana