Download | Kusah Hujanikomoa | Mp3 Audio

kusah hujanikomoa

Download | Kusah Hujanikomoa | Mp3 Audio

Related: Kusah My Valentine

Hujanikomoa Lyrics

Nafsi inasema subiri
Moyo unakataa nenda
Nimeziona dalili
Ipo siku nitadema

Haya, mwenzako mimi hujanikomoa
Haya, ni kama akili umeifungua
Haya, mwenzako mimi hujanikomoa
Haya, ndo kwanza akili umeifungua mama

DOWNLOAD

Kusah Hujanikomoa

Related Kusah Songs