Download | Kusah Ft Linah Nilewe | Mp3 Audio
Related: Kusah I Dont Care
Nilewe Lyrics
Niacheni nilewe
Niacheni nilewe tu
Aliomba msamaha kasema harudii tena
kakiri amefanya mmmh ni tamaa tu
kalia akiniomba anataka arudi tena
Amekiri amefanya, ni tamaa tu
Lakini siwezi acha ninywe gambe
Niacheni nilewe
niacheni nilewe
Niacheni nilewe
Niacheni nilewe