Kusah X
Tanzanian upcoming Bongo Fleva’s talented recording artist, singer, and songwriter, Kusah came through with another single-tagged X.
Listen to “Kusah – X” below;
Related Song: Kusah -I Wish
Kusah X lyrics
Yaani baby oh baby, nikungáte sikio baby
mmmh baby ooh baby nataka tutete baby
yaani baby mwenzio baby sikai umbea baby
mmmh mwenzio baby nataka ropoka baby
Mwenzako X kutwa haishi kunitaja
Na wako X Domo ni wazi bwabwaja
Kiufupi X wanateseka na haja
Tunawapiga X si walitaka shindana