WCB Wasafi Zilipendwa
Download | WCB Wasafi (Diamond Platnumz, Harmonize, Rich Mavoko & Rayvanny) – Zilipendwa | Mp3 Audio
RELATED: Matonya – Zilipendwa
WCB Wasafi Zilipendwa Lyrics:
Oooh! hizo ni zama za kale
Oooh! Sangulo na pepe kale,
Zilipendwa
Eh! Kizamani, kutoa card na maua (zilipendwa)
Wanataka money ukilipa unakwarua (zilipendwa)
Ufundi kitandani, sio maguvu kujikamua (zilipendwa)
Unafika ndani, hujatomasa unachanua (zilipendwa)
Wanawake wa leo wanataka mikakati
Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati (zilipendwa)
Mapenzi ya video yatakutoa kamasi
Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass (zilipendwa)