VIDEO Galilee Pro Max (GPM) – Tunalivunja

tunalivunja video

VIDEO Galilee Pro Max (GPM) – Tunalivunja

Galilee Pro Max (GPM) Choir were decided to drop their new visual known as Tunalivunja, We invite to watch the visual below.

Galilee Choir, Ni Choir Kutoka kanda ya ziwa, Buseresere_Geita, Waimbaji waliojitoa kwa dhati Pasipo shaka, kumtumikia Mungu katika viwango na hali zote! Wapo tayari kutembea, kuhubiri na Kuimba Kila ambako Bwana atawatuma kuifikisha Injili!

Pigo za nyimbo zetu nyingi, zimelenga kuwafanya wale wasiopenda kusikiliza kwaya hasa vijana, kusikiliza, ikiwa ni aina ya Muziki wanaoupenda na kwa njia hiyo, Masihi anafikishwa kwao kwa njia hiyo! Sapoti kazi hii na Uisambaze uwezavyo! Mungu akubariki.

DOWNLOAD