mimba
-
Dondoo Za Afya
Zijue Dalili 8 za Mimba Changa
Je unajisi kwamba una dalili za mimba changa na huna uhakika? Njia pekee ya uhakika ni kufanya kipimo ndipo utajua mbivu na mbichi. Kabla ya kupima kuna dalili za awali ambazo waweza kuzitumia kukupa mwanga kwamba tayari una ujauzito. Je Kila Mwanamke Anaweza Kupata Dalili Za Mimba Mapema? Kila mwanamke anatofautiana na mwingine kimaumbile. Kuna wengine hawapati dalili kabisa hata…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Siku Za Hatari Na Siku Za Kushika Mimba
Siku Za Kushika Mimba Kila mwanamke ana siku yake ambayo ni hatari zaidi kushika mimba. Siku hii inaweza kufanana na mwanamke mwingine ambaye anafanana naye mahesabu. Hata hivyo wanaweza kutofautiana kutokana na vyakula, maumbile na hali za maisha. Hapa nitakuletea orodha ya siku hatari za mwanamke. Nini maana ya siku hatari? Hizi ni siku ambazo mwanamke anakadiriwa kupata ujauzito. Ni…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito
Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumboni. Zifuatazo ni Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito . 1. Albendazole; hii ni dawa ya minyoo ambayo hutumika mara kwa mara…
Read More »