Mdundo

  • Today's NewsWasanii wa Bongo Fleva Waachia Nyimbo Mpya

    Wasanii wa Bongo Fleva Waachia Nyimbo Mpya Zinazotamba

    Muziki wa Bongo Fleva unaendelea kuwapa mashabiki burudani ya hali ya juu, huku wasanii kama Rich Mavoko, Christian Bella, Official Killy, Lava Lava, na Mimi Mars wakiachia nyimbo mpya zinazovuma. Kila msanii ameleta nyimbo zenye ladha tofauti, zinazogusa hisia na kuonesha ujuzi wao wa kipekee. Mimi Mars amevutia mashabiki na wimbo wake mpya, For You, ambao umechanganya melody ya kuvutia…

    Read More »
  • Today's NewsQaswida ni muziki wa melodi za Kiislamu

    Qaswida ni muziki wa melodi za Kiislamu zinazoimbwa kipekee sana unaogusa roho na kuleta amani.

    Qaswida ni muziki wa melodi za Kiislamu zinazoimbwa kipekee sana unaogusa roho na kuleta amani. Tunakuletea Qaswida Mix—mkusanyiko wa qaswida zinazopendwa zaidi, sasa inapatikana kwa urahisi kwenye Mdundo.com. Kwa Nini Upakue Qaswida Mix? • Sauti za qaswida zina uwezo wa kuleta utulivu wa kiroho, popote ulipo. • Pata ladha ya utamaduni wa Kiislamu wa Afrika Mashariki uliojaa heshima na ibada.…

    Read More »
  • Today's NewsHarmonize ameachia wimbo mpya

    Harmonize ameachia wimbo mpya unaoitwa “You Better Go,”

    Harmonize ameachia wimbo mpya unaoitwa “You Better Go,” na tayari unazua gumzo kubwa kwenye uwanja wa muziki. Katika kipindi cha hivi karibuni, Harmonize amekuwa akivutia vichwa vya habari kutokana na matukio mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ushirikiano wake na wasanii wengine wakubwa na maonesho yake ya kusisimua. Akijulikana kwa uimbaji wake wa kihisia na maneno yenye mvuto, Harmonize anaendelea kuwateka…

    Read More »
  • Today's NewsKinamba Namba

    Billnass, Gnako, Whozu, S2Kizzy, Apuki, na DJ Jozzey Watoa “Kinamba Namba”

    Ushirikiano wa Billnass, Gnako, Whozu, S2Kizzy, Apuki, na DJ Jozzey kwenye wimbo “Kinamba Namba” umeleta msisimko mkubwa kwa mashabiki wa muziki. Ngoma hii ya nyota wengi imekusanya vipaji vya kipekee kutoka kwenye tasnia ya muziki nchini, na kuunda wimbo wenye nguvu na vibe ya kipekee yenye dance moja ya kinyamwezi sana. Billnass, anafahamika kwa mistari yake yenye uchokozi, Gnako kwa…

    Read More »
  • Today's NewsMaadhimisho ya Nandy Festival 2024

    Nandy: Safari ya Muziki na Maadhimisho ya Nandy Festival 2024

    Faustina Charles Mfinanga anayejulikana kama “Nandy ama African princess” ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini Tanzania. Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri mdogo, na alijitambulisha kwenye anga za muziki kupitia sauti yake ya kipekee na mtindo wa kisasa. Safari ya muziki ya Nandy ilianza rasmi mnamo mwaka wa 2014 alipoanza kutunga nyimbo na kutoa burudani katika matukio ya…

    Read More »
  • Today's NewsWashindi wa Simu Mpya aina ya Samsung

    Washindi wa Simu Mpya aina ya Samsung Watangazwa na Mdundo.com

    Washindi wa Simu Mpya aina ya Samsung Watangazwa na Mdundo.com Mdundo.com imetangaza washindi wawili wa simu mpya za Samsung katika kampeni yao ya saba saba iliyowagusa wapenzi wa muziki kutoka sehemu mbalimbali nchini. Katika kampeni hiyo, watumiaji walihimizwa kupakua DJ mixes kutoka mdundo kwa nafasi ya kushinda zawadi hii ya thamani. Washindi Boniphace kutoka Katoro, Geita na Arnold kutoka Mbeya,…

    Read More »
  • Today's NewsMustakabali wa Hip Hop nchini Tanzania

    Mustakabali wa Hip Hop nchini Tanzania: Mafanikio na Matumaini

    Hip hop nchini imeendelea kukua kwa kasi na kuonesha matumaini makubwa katika miaka ya hivi karibuni. Kuanzia mitindo mipya hadi ushawishi wa kijamii, mustakabali wa muziki huu ni wa kuvutia sana. Hapa chini, tunachunguza mambo yanayochochea ukuaji wa hip hop; Teknolojia na Urahisi wa Kutengeneza Muziki: Kupitia vifaa vya kisasa vya kurekodi na programu bora za muziki, wasanii wa hip…

    Read More »
  • Today's NewsAlbert Mangwea

    Albert Mangwea: G.O.A.T wa Hip Hop Tanzania

    Kwenye historia ya hip hop nchini Tanzania, jina la Albert Mangwea ni lazima litajwe. Huwezi kuzungumzia muziki huu bila kumkumbuka mkali huyu. Mangwea hakuwa tu msanii wa rap, bali alikuwa mwasisi aliyechochea mapinduzi kwenye tasnia ya hip hop Tanzania. Katika kusherehekea miaka 51 ya hip hop, hatuwezi kusahau urithi wake ambao umeacha alama isiyofutika kwenye muziki wa kizazi kipya. Safari…

    Read More »
  • Today's NewsWhatsApp Image 2024 08 12 at 15.32.09

    Wanawake Jasiri Walioleta Mapinduzi Katika Hip Hop Tanzania

    Hip hop nchini Tanzania imekuwa na safari ndefu, na wanawake wamekuwa mstari wa mbele kuleta ubunifu na mabadiliko makubwa. Kutoka mwanzo hadi sasa, wasanii wa kike wameonyesha uwezo wao wa kipekee na kuandika historia isiyosahaulika. SisterP ni moja ya waanzilishi wa hip hop ya Tanzania, akileta mtindo wa kipekee na mashairi yenye maudhui ya kijamii. Dataz, pia alichangia kwa uandishi…

    Read More »
  • Today's NewsHiphop ya zamani VS hip hop ya sasa

    Hiphop ya zamani VS hip hop ya sasa

    Hip hop nchini Tanzania imepitia mageuzi makubwa kutoka mizizi yake ya zamani hadi sauti za kisasa. Wasanii kama Mr. II (Sugu) na Professor Jay walizungumzia masuala ya kijamii kama umasikini na ufisadi. Muziki wao ulikuwa na ujumbe mzito – ni kama walikuwa wakisoma taarifa ya habari lakini kwa beats pamoja na vina vikali. Huwezi kuongelea hip hop ya zamani bila…

    Read More »
  • Today's NewsSherekea kinara wa Hip Hop Tanzania Fid Q

    Sherekea kinara wa Hip Hop Tanzania- Fid Q.

    Fareed Kubanda alimaarufu Kama Fid Q – Mzawa wa Mwanza ni kiungo muhimu katika hip hop ya Tanzania. Akiwa maarufu kwa mashairi yake makali na mtindo wa kipekee, ushawishi wa Fid Q katika muziki huu hauwezi kupuuzwa. Mistari yake yenye maana na mada zenye kuamsha fikra zilimpatia umaarufu haraka. Kwa nyimbo kama “Propaganda” na “Sihitaji Marafiki,” Fid Q aliweza kugusa…

    Read More »
  • Today's NewsMdundo Explains How To Use Your Music Licensing

    Mdundo Explains How To Use Your Music Licensing Agreement As Collateral

    In the fast-growing music industry, artists are breaking boundaries and making significant strides on the global stage. However, access to capital remains a critical challenge for many artists who wish to expand their careers and explore new opportunities. One innovative solution gaining traction is the use of licensing agreements as collateral for securing financial support. Here’s how artists can leverage…

    Read More »
  • Today's NewsHip Hop 51

    Mdundo.com ina furaha kubwa kutangaza kuanzishwa kwa kampeni yetu maalum ya Hip Hop 51

    Mdundo.com ina furaha kubwa kutangaza kuanzishwa kwa kampeni yetu maalum ya Hip Hop@51, yenye lengo la kusherehekea na kuenzi muziki wa Hip Hop pamoja na wasanii wa nchi mbalimbali za Afrika, ikiwemo Kenya, Tanzania, Uganda, Ghana, na Nigeria. Kampeni hii itakua ya mwezi huu wa Agosti. Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa Mdundo: https://mdundo.ws/YingaM Kampeni hii inakusudia kuangazia safari…

    Read More »
  • Today's NewsCopyright Explained

    MUSIC COPYRIGHT EXPLAINED BY MDUNDO

    Written by MuriukiKiai, Database & Copyright Manager at Mdundo. What is Copyright? Copyright is a legal thing that gives the person who made something original the power to decide how it’s used. In simpler words, it’s a way to keep safe the stuff someone creates, so others can’t just take it and do whatever they want with it. Like, if…

    Read More »
  • Today's NewsCelebrating Nishe

    Celebrating Nisher: A Legacy of Timeless Music

    Celebrating Nisher July 8th marks a special day for music lovers and fans of the late Nisher. This date, which commemorates his birthday, now also marks the release day of his self-titled album, “Nisher.” Composed and produced by Nisher himself, the album stands as a testament to his unparalleled talent and enduring legacy. Nisher’s impact on the music industry is…

    Read More »
  • Today's NewsMdundo.com and Vodacom

    Mdundo.com and Vodacom: Amplifying Music at Saba Saba Grounds

    Mdundo is thrilled to announce its ongoing partnership with Vodacom at the iconic Saba Saba grounds in Dar es Salaam. This collaboration brings a unique fusion of music and technology, offering attendees an unforgettable experience. The synergy between Mdundo.com and Vodacom underscores a commitment to delivering quality music streaming services while supporting local talent. Vodacom’s robust network ensures seamless access…

    Read More »
  • Today's NewsMdundo Tanzania and Mwananchi Communications

    Mdundo Tanzania and Mwananchi Communications Limited Support Fathers at Muhimbili National Hospital

    In a heartwarming gesture ahead of Father’s Day on Sunday, 16th June 2024, Mdundo Tanzania, in collaboration with Mwananchi Communications Limited, visited fathers and father figures at the Muhimbili National Hospital’s Department of Mental Health. The initiative, part of the ongoing men’s mental health awareness month, aimed to provide support and recognition to these individuals. Recognizing the therapeutic role of…

    Read More »
  • Today's NewsMa Cherie Remix by Bien Aime Fally Ipupa

    East Swahili Meets Central French in Major African Collaboration: Ma Cherie Remix by Bien Aime & Fally Ipupa

    FREE Mp3 Download: Ma Cherie Remix on Mdundo.com – https://mdundo.com/song/3016793 Bien Aime Baraza of Sauti Sol and Fally Ipupa, one of Congo’s best musicians, have collaborated to make a lively remix of Bien’s popular song “Ma Cherie.” This partnership wasn’t merely a coincidental match. Bien has always appreciated Fally’s dynamic stage presence and contagious dance routines. Bien is recognised for…

    Read More »