Ijue Afya Yako leo
-
Dondoo Za Afya
Faida 5 Za Kunywa Maji ya Moto Asubuhi
Faida 5 Za Kunywa Maji ya Moto Asubuhi 1. Kunywa maji kwenye tumbo tupu kutaongeza kasi ya kimetaboliki, na hivyo kusaidia kupunguza uzito. Utafiti umeonyesha kuwa kunywa 500 ml ya maji iliongeza kiwango cha metaboli kwa 30% ndani ya dakika 10 na wakati mwingine baada ya dakika 30-40 2. Inatoa sumu Faida nyingine ya maji ya kunywa asubuhi ni kusaidia…
Read More » -
Dondoo Za Afya
JITIBU: Hii Hapa Dawa ya UTI Sugu
Dawa ya UTI Sugu Kulingana na madaktari bingwa wa magonjwa ya uzazi, maambukizi ya njia ya mkojo husababishwa na vimelea au bakteria hatari ambao huzidi uwezo wa kinga ya mwili katika mfumo wa mkojo. Maambukizi haya yanaweza kuathiri figo, kibofu cha mkojo na mirija inayopita katikakati ya viungo hivyo. Soma hii Pia: Uhakika Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Zijue Dalili 8 za Mimba Changa
Je unajisi kwamba una dalili za mimba changa na huna uhakika? Njia pekee ya uhakika ni kufanya kipimo ndipo utajua mbivu na mbichi. Kabla ya kupima kuna dalili za awali ambazo waweza kuzitumia kukupa mwanga kwamba tayari una ujauzito. Je Kila Mwanamke Anaweza Kupata Dalili Za Mimba Mapema? Kila mwanamke anatofautiana na mwingine kimaumbile. Kuna wengine hawapati dalili kabisa hata…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Dalili Kuu Za Ukimwi Wiki Za Mwanzo
Dalili Kuu Za Ukimwi Wiki Za Mwanzo Je nini maana ya UKIMWI? UKIMWI ni ufupisho wa maneno Upungufu Wa Kinga Mwilini. Ukimw husababishwa na aina ya virusi inayojulikana kwa jina la VVU yaani Virusi vya ukimwi. Historia ya Ukimwi imeanza zamani sana toka miakaya 1950. Kuna nadharia nyingi sana kuhusu chanzo na asili ya ukimwi. Kisayansi nadharia inayokubalika ni kuwa…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Siku Za Hatari Na Siku Za Kushika Mimba
Siku Za Kushika Mimba Kila mwanamke ana siku yake ambayo ni hatari zaidi kushika mimba. Siku hii inaweza kufanana na mwanamke mwingine ambaye anafanana naye mahesabu. Hata hivyo wanaweza kutofautiana kutokana na vyakula, maumbile na hali za maisha. Hapa nitakuletea orodha ya siku hatari za mwanamke. Nini maana ya siku hatari? Hizi ni siku ambazo mwanamke anakadiriwa kupata ujauzito. Ni…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Jinsi Ya Kupunguza Matiti Na Kusimamisha Saa 6
Kupunguza Matiti Na Kusimamisha Kuna sababu kadhaa za kulegea kwa matiti yako kama vile kunyonyesha, lishe duni, magonjwa, kuvaa sidiria isiyofaa, kukoma hedhi nk. Siku hizi kuna njia kadhaa za kusimamisha matiti ikiwemo upasuaji ambao ni ghari sana na ina madhara. Yanini sasa upate madhara na kugharamia bei kubwa wakati kuna njia za asili unazoweza kuzitumia nyumbani kwako kusimamisha matiti.…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Uhakika Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi
Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi Miaka ya zamani, tumbo kubwa lilihusishwa na utajiri, au uwepo wa mafanikio kwenye maisha. Mambo yamebadilika. Tumbo kubwa huondoa urembo kwa wanawake, au utanashati kwa wanaume. RELATED: Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo Zifuatazo ni Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi. 1. Kunywa Maji Mengi Kunywa maji mengi mara kwa mara kwa…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito
Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumboni. Zifuatazo ni Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito . 1. Albendazole; hii ni dawa ya minyoo ambayo hutumika mara kwa mara…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo
Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo Aina Za Vidonda Vya Tumbo: Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni; 1) Vidonda Vya Tumbo Kubwa. Hivi ni vidonda ambavyo tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach). Vidonda hivi vya tumbo hujulikana kwa kitaalamu kama Gastric ulcers. Peptic ulcers 2) Vidonda Vya Utumbo Mdogo. Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye…
Read More » -
Dondoo Za Afya
Dawa Za Asili Za Vidonda Vya Tumbo Sugu
Dawa za Asili za Vidonda Vya Tumbo Sugu Kabla hatujaangazia Dawa Ya Asili Ya Vidonda Vya Tumbo Sugu Tuangalie Aina ya Vidonda Vya Tumbo. Aina Za Vidonda Vya Tumbo: Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni; 1) Vidonda Vya Tumbo Kubwa. Hivi ni vidonda ambavyo tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach). Vidonda hivi vya tumbo hujulikana…
Read More »