Freshley Mwamburi

  • Bongo Zamanistella wangu freshley mwamburi

    Download | Freshley Mwamburi Stela | Mp3 Audio

    Download | Freshley Mwamburi Stela | Mp3 Audio Related Song: Uncle Konaya Merimela Ghafla ndege lipotua uwanajani tuliona vituko Stella alishuka amebeba mtoto mkononi Nyuma yake mchumba wake mfupi Futii nne Mjapani Nilisikitika ndani ya moyo Nikakosa la kufanya Nilitamani nilie Kikamba lakini sikijui Ilibidii nilie Kijaluo” angatima ngo wachoa”, Freshley Nilitamani nilie Kihindi lakini sikijui Ilinibidi nilie Kitaita lugha…

    Read More »