Biashara
-
Biashara
Je Biashara ya Nafaka ni Nzuri? Jifunze Hapa
Biashara ya Nafaka Moja ya Biashara nzuri kufanya, Hii sio biashara ya msimu, ni biashara ya mwaka mzima kutokana na uhitaji wake wa kila siku. . Anza kwa kuandaa mchanganuo mfupi wa biashara ya Duka la kuuza Mazao ya Nafaka. . Andika mahitaji yote ya muhimu unayotakiwa kuwa nayo ili kuanzisha biashara ya kuuza Nafaka na mazao ya kilimo mfano…
Read More » -
Biashara
Mfanyabiashara: Usikose Hizi App Kwenye Simu Yako
Usikose Hizi App Kwenye Simu Yako Hizi ni Apps ambazo zitakufanya uweze kukuza biashara na kukupatia wateja wengi zaidi. Kwanza hakikisha una Apps za mitandao ya kijamii Whatsapp Business (Achana na ma_Gb whatsapp utakuja kulia) , Facebook, Instagram, Twitter (X) , Telegram Na Tiktok); Ukishakuwa nazo, hakikisha unakua Active sana. Kisha kuwa na hizi App 5 Za Biashara. . 1.…
Read More »