Afya

  • Dondoo Za Afyadawa Kiboko ya uti sugu

    JITIBU: Hii Hapa Dawa ya UTI Sugu

    Dawa ya UTI Sugu Kulingana na madaktari bingwa wa magonjwa ya uzazi, maambukizi ya njia ya mkojo husababishwa na vimelea au bakteria hatari ambao huzidi uwezo wa kinga ya mwili katika mfumo wa mkojo. Maambukizi haya yanaweza kuathiri figo, kibofu cha mkojo na mirija inayopita katikakati ya viungo hivyo. Soma hii Pia: Uhakika Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au…

    Read More »
  • Dondoo Za AfyaZijue Dalili 8 za Mimba Changa

    Zijue Dalili 8 za Mimba Changa

    Je unajisi kwamba una dalili za mimba changa na huna uhakika? Njia pekee ya uhakika ni kufanya kipimo ndipo utajua mbivu na mbichi. Kabla ya kupima kuna dalili za awali ambazo waweza kuzitumia kukupa mwanga kwamba tayari una ujauzito. Je Kila Mwanamke Anaweza Kupata Dalili Za Mimba Mapema? Kila mwanamke anatofautiana na mwingine kimaumbile. Kuna wengine hawapati dalili kabisa hata…

    Read More »
  • Dondoo Za Afyadalili za ukimwi

    Dalili Kuu Za Ukimwi Wiki Za Mwanzo

    Dalili Kuu Za Ukimwi Wiki Za Mwanzo Je nini maana ya UKIMWI? UKIMWI ni ufupisho wa maneno Upungufu Wa Kinga Mwilini. Ukimw husababishwa na aina ya virusi inayojulikana kwa jina la VVU yaani Virusi vya ukimwi. Historia ya Ukimwi imeanza zamani sana toka miakaya 1950. Kuna nadharia nyingi sana kuhusu chanzo na asili ya ukimwi. Kisayansi nadharia inayokubalika ni kuwa…

    Read More »
  • Dondoo Za Afyadalili 7 za vidonda vya tumbo na tib

    Dalili 7 za Vidonda Vya Tumbo Pamoja na Tiba

    Dalili 7 za Vidonda Vya Tumbo na Tiba Leo Tumekuletea aina ya Dalili zinazosababisha Vidonda hivi Vya Tumbo na Tiba, Kwanza Tuangalie Aina ya Vidonda Vya Tumbo. Aina Za Vidonda Vya Tumbo: Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni; 1) Vidonda Vya Tumbo Kubwa. Hivi ni vidonda ambavyo tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach). Vidonda hivi…

    Read More »