Download | Steve Rnb Jambo Jambo | Mp3 Audio

steve rnb jambo jambo

Steve Rnb Jambo Jambo

Steve Rnb has decided to brought his new song titled as Jambo Jambo Bwana, Weolcome here to listen and enjoy the hit song from Steve RNB.

Related Song: Steve Rnb – One Love

Steve Rnb Jambo Jambo Lyrics:

Oh nananaah
Oh nananaah
Oh nananaah aah
Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha ntaumia

Mwenzio nishakuzimia
Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha ntaumia

Mwenzio nishakuzimia
Uzuri wako umenifanya
Niwe nawe girl
Niwe nawe kabisa
Tabia ndio imenivuta, niwe karibu
Moyoni niwe na furaha baibe
Na furaha baby

DOWNLOAD MP3

Recommended Posts to Steve Rnb: