Download | Snura Majanga | Mp3 Audio
Noted Lyrics:
Mama Yuko hoi mama tumpeleke Hospitali
Doctor anataka Salali ,
Kupigwa nimepigwa mie polisi kawahi yeye
Kibao megeuziwa mie ,
Pombe nimenunua mie kulewa kalewa yeye
ugomvi kaanzisha yeye.
Kijijini Nimtoe mie kumlisha nimlishe
mie jeuri afanye yeye
Majanga Majanga ona Majanga
Mbona Majanga
RELATED: Snura – Chura