Download | Sam Wa Ukweli Hata Kwetu wapo | Mp3 Audio
RELATED: Sam Wa Ukweli Sina Raha
Hata Kwetu wapo LYRICS
Wenye machungu na mabaya sio kwenu tu, Hata kwetu wapo
Wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu, Hata kwetu wapo
Ukichukis sishangai,Peace & love
Mi najua Binadamu ndivyo tulivyo
Ukichukia sishangai , Peace & love
Mi najua Binadamu ndivyo tulivyo