Download | Nay Wa Mitego Ipo Sawa | Mp3 Audio

nay wa mitego ipo sawa

Download | Nay Wa Mitego Ipo Sawa | Mp3 Audio

Related: Nay Wa Mitego Hunijui

Ipo sawa Lyrics

Leo nitaongea san na pia nitawakumbusha
maana mimi na nyinyi ni kama teja na pusha
mikono juun kama kweli we ni soldier
hii ni ishara ya kwamba tuko pamoja

Haiyee Mbeya city whatsup ipo sawa
wazee wa mitumba mnasemaje ipo sawa
dar city whatsup ipo sawa
wazee wa nondo mnasemaje ipo sawa

PAKUA

Nay Wa Mitego Ipo Sawa

Nay wa Mitego Related Songs