Download | Nay Wa Mitego Haki | Mp3 Audio
Related: Nay Wa Mitego – Vua Nguo
Haki lyrics
Haki haki haki haki
haki haki haki haki
Assalam alaikum ndugu zangu waislamu
bwana asifiwe ndugu zangu wakristo
amen mambo niaje yooh wanangu wa geo
woyoo na wapagani wote mnaamini mtaiona pepo
Haya ni wamitego tena nimerudi tena
Tega sikio ninamengi ya kusema
Sio CCM, Sio CUF, ACT wala CHADEMA
Wakiwauliza nani wajibu Ney Amesema