Download | Nay Wa Mitego Ft Diamond Platnumz Muziki Gani | Mp3 Audio
Related: Nay Wa Mitego – Haki
Muziki gani Lyrics
Hivi nyie ma Mc mnachoimba kitu gani
mara bangi mara matusi sa ndo mziki gani
Hii no hiphop muasisi wa burudani
tunachoshwa kutwa mapenzi kabane pua nyumbani
Hata bibi alinambia mwanamke anahitaji kubembelezwa
kupetipeti matunzo pia ukienda rafu utampoteza
muziki ni mfano wa binti muzuri
na ndio maana namtunza kwa vazi na uturi