Nandy Kiza Kinene Ft Sauti Sol
A top Tanzanian female artist, singer, and songwriter, Nandy came through with a brand new banger titled Party, produced by Kimambo.
RELATED: BillNass Ft Nandy – Bugana
Nandy, the best female artist from East Africa, has released a new song featuring the talented music group from Kenya, Sauti Sol.
The song is called “Nandy Kiza Kinene” and talks about two lovers who broke up because of people’s words.
Nandy Kiza Kinene Ft Sauti Sol Lyrics:
Kiherehere kimeniisha,
Leo nimekuwa simulizi kwa mpenzi wako,
waninanga wee.
Zaidi yanisikitisha,
eti nimekuwa chuma cha kafuro,
nipo juu ya mawe.
Jikoni kwangu kaingia mdudu gani?
Mara kwenye kikombe mara sahani
Ona katibu wa maji kisimani.
(Oooh salala)
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua…
(Masala)
Nimezidisha chenji, kimeota nyasi…
(Mbaghala)
Nilipita dirisha nafasi kuigombania…
(Nikabanwa)
Kumbe basi limejaa, na mlango upo
Haioni mboni yangu
(Kiza kinene)
Kibatari utambi umetumbukia
(Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu
(Kiza kinene)
Nimepekechwa nguzo niliyoegemea
(Kiza kinene)
Ah… aah
“Listen to Nandy Kiza Kinene Ft Sauti Sol”