Mbosso Ft Rayvanny Pakua
Yamoto Band member currently signed under WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi better known as Mbosso, came through another single-tagged Pakua.
Album: Definition Of Love
RELATED: Mbosso Ft Spice Diana – Yes
Pakua Lyrics:
Oh baby niletee niletee (Niweke!)
Oh niletee (Niweke!)
Mpaka juu darini (Niweke!)
Kusi na kasikazini
Pakua! Oh paku, pakua pakua!
Uno la pochopocho
Asa pakua, enhee eh (Pakua pakua)
Ka kisamvu cha kopo Oya (Pakua, pakua pakua)
Pakua pakua, pakua
I say ilee, iletete
Mtoto punguza mapepe
Acha kitee, kitetete
Nivunjevunje niwe kiwetete ayee
“Listen to Mbosso Ft Rayvanny Pakua”