Download | Maua Sama Ft Aslay Wivu | Mp3 Audio

Download | Maua Sama Ft Aslay - Wivu | Mp3 Audio

Download | Maua Sama Ft Aslay Wivu | Mp3 Audio

Noted Lyrics:

Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu
Ah tunavyopendana
Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu
Ah tunavyopendana
Wanajua nilivyoshibana nawe
Ndo mana wanaona wivu
Tunavyopendana oh oh oh
Wanajua tunavyopendana
Me na we wanaona wivu
Tunavyopendana

[Maua Sama]
Ntafuga kijini nkuroge usitoke yani
Uwe na Mimi tu ndani
Uwe na mimi mwandani aii wewe
Nshakolea penzi me nipo mahabani
Sipingi sibishani
We ndo wakwangu Mimi nielewee

RELATED: Maua Sama – Niteke

Maua Sama Ft Aslay Wivu