Download | Kusah Sakata | Mp3 Audio
Related: Kusah Najua
Sakata Lyrics
Aya kiti kapandisha maruani
kiti anataka chumba cha uwani
Athumani nae kasimama dede
Anamidadi anataka akubebe
Sakata sakata baby
waoneshe ulivyofundwa
sakata nishadata eeeh
sakata sakata sakata eeh