Download | Kusah Nishazama | Mp3 Audio
Related: Kusah Hapana
Nishazama Lyrics
Leo nataka nikupe yote yote ma beiby
ah! twende bara,twende pwani ma beiby
halafu baby tulewe kidogo
Si unajuaga nikizidisha naanzisha zogo
Anapenda udeke deke
Twend pemba tufike hadi chake chake
Kutekenya ucheke cheke
Ka mutoto napenda udeke deke
Nishazama, nishazama
Nishazama, nishazama