Download | Ibraah Sawa | Mp3 Audio

ibraah sawa

Download | Ibraah Sawa | Audio

Related Song: Ibraah – Mapenzi

Sawa Lyrics:

Napiga goti kwa uchungu nalia
Ni nusuru muumba
Katu nisikate tamaa
Niende kusaka tonge
Nipate ama nishinde njaa

Moyoni upige konde, ni sawa eh!
Ni sawa, ni sawa
Naamini nitafika (Ata nikikosa sawa)
Ni sawa, ni sawa
Naamini mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa)
Sawa, ni sawa
Naamini nitafika (Mwanadamu hawezi panga)
Ni sawa, ni sawa
Naamini mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga)

DOWNLOAD

Ibraah Sawa

Related Songs for Ibraah: