Ibraah Nani

ibraah nani

Ibraah Nani

Tanzanian recording artist signed under Konde Music World Wide serial hit maker, Ibraah has just dropped a new banger titled “Nani”.

Related Song: Ibraah Sawa

It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Nani mp3 audio Download by Ibraah. Enjoy!

Ibraah Nani Lyrics:

Penzi la dhati daima la wawili
We fanya na urudi lisiwe batili
Ka wafanya kusudi ni ukatili
Mi naumia

We ndo yangu hifadhi
Labda nilikosea msimbo
Kweli kupenda kazi
Wangu umegeuka fimbo o

Mi ndo lako koroboi
Lile lisilo zima
Aha si ulisemaga hauchomoi
Kumbe imani ulinipima ah

Listen to Ibraah Nani

DOWNLOAD MP3

Related Songs From Ibraah: