Hussein Machozi – Addicted
”Addicted” is a captivating Afrobeat track by Tanzanian artist Hussein Machozi, released on April 20, 2021. The song delves into the depths of passionate love, portraying the overwhelming feelings that come with being deeply infatuated with someone.
Hussein Addicted Lyrics
I’m i’m addicted
Haya mapenzi, yangekuwa kwenye wali
Nisingeula
Ningeuacha ulale, ukiamka umechacha
Niumwage kabisa
Haya mapenzi, yangekuwa kwenye wali
Nisingeula
Ningeuacha ulale, ukiamka umechacha
Niumwage kabisa
Ila yapo kwako, kipenzi
Ndo maana nakonda (I’m addicted)