Download | Dogo Mfaume Kazi Ya Dukani | Mp3 Audio

kazi ya dukani

Dogo Mfaume Kazi Ya Dukani

RELATED: AT Bao La Kete

Noted Lyrics:

Hii Kazi yangu ya dukani me naona inalipa
nikizingatia sitaweza filisika
Baba kabla ya kufa alinipa Usia mwanangu kazi ya Kufanyaaa
Fungua duka eeee Fungua Duka
na ukizingatia hutaweza Filisika.

Sasa Wanakijiji wamepanga Wananitimue
Jamani ndugu zangu nipeni ushauri wa bure niache kuuza duka
Au nifuge Nguruwe , hiyo haiwezekaniii.

DOWNLOAD MP3