Bright Ft Baraka Da Prince Nitunzie
Ladies and gentlemen, Star Kid presents a stunning new joint tagged Nitunzie from their one and only Bright, Featuring Baraka da prince.
RELATED: Bright ft Nandy – Umebadilika
Welcome back, It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new music video titled Nitunzie by Bright ft Baraka da prince. Enjoy!
Bright Ft Baraka Da Prince Nitunzie Lyrics:
Mapenzi matamu ukipata anayekupenda aaaaahh!
Tena machungu alopenda akitendwa ) x2
Nishanyanyaswa na mapenzi nikaliaaaa ,
nakukabidhi moyo wangu we chukuaaa
Nataka uwe mkweli sio muongo,nipe penzi lote sio kidogo,
usidanganyike na vigogo pesa na magari ulete zogo.
(najua mapenzi ni ugonjwa tena wanaougua ni watu,
usinicheke kwa kupenda tena ukaniona mkosefu)x 2 CHORUS
(penzi langu nitunzie nitunzie nitunzie mama,
yale ya nyuma usirudie nisijutie mi naogopa sana) x2