Aslay Koko Tu
Aslay Isihaka Nassoro, commonly known as Aslay has decided to intriduced a new song tagged as Koko Tu, We invite you to Listen below.
RELATED: Aslay Muhudumu
Noted lyrics:
Me kwako ni koko tu (koko tu)
Sioni sisikii (koko tu)
Kama ni kisu nikidugi (koko tu)
Kimeishaa makali (koko tu)
Tatizo nini kinachofanya unune
Na kwanini unataka tugombane?
Baby me ni wako
Nakuruhusu unichune
Kama ni kamari kwako
Upepo wako unipune
“Listen to Aslay Koko Tu “