Alikiba ft Patoranking – Bwana Mdogo

Bwana Mdogo

Alikiba ft Patoranking Bwana Mdogo

RELATED: Alikiba – Oya Oya

Alikiba Bwana Mdogo Lyrics:

My gal we ni matata, body matata mbaya eeh
Bwana mdogo umenikamata, unanicheza kama karata
Tulikutana kule Cape Cape town
Mpaka Accra Town dowtown, eeh
Eti una sifa za kudanga
Na mengi wanasema sijaona

Wivu umewaingia, Mungu kanionyesha ishara
Ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya
Wivu umewaingia, Mungu kanionyesha ishara
Ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya.

DOWNLOAD Mp3

Download Another Alikiba Songs: