Dondoo Za Afya

  • Kunywa Maji ya Moto Asubuhi

    Faida 5 Za Kunywa Maji ya Moto Asubuhi

    Faida 5 Za Kunywa Maji ya Moto Asubuhi 1. Kunywa maji kwenye tumbo tupu kutaongeza kasi ya kimetaboliki, na hivyo kusaidia kupunguza uzito. Utafiti umeonyesha kuwa kunywa 500 ml ya maji iliongeza kiwango cha metaboli kwa 30% ndani ya dakika 10 na wakati mwingine baada ya dakika 30-40 2. Inatoa sumu Faida nyingine ya maji ya kunywa asubuhi ni kusaidia…

    Read More »
  • dawa Kiboko ya uti sugu

    JITIBU: Hii Hapa Dawa ya UTI Sugu

    Dawa ya UTI Sugu Kulingana na madaktari bingwa wa magonjwa ya uzazi, maambukizi ya njia ya mkojo husababishwa na vimelea au bakteria hatari ambao huzidi uwezo wa kinga ya mwili katika mfumo wa mkojo. Maambukizi haya yanaweza kuathiri figo, kibofu cha mkojo na mirija inayopita katikakati ya viungo hivyo. Soma hii Pia: Uhakika Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au…

    Read More »
  • Zijue Dalili 8 za Mimba Changa

    Zijue Dalili 8 za Mimba Changa

    Je unajisi kwamba una dalili za mimba changa na huna uhakika? Njia pekee ya uhakika ni kufanya kipimo ndipo utajua mbivu na mbichi. Kabla ya kupima kuna dalili za awali ambazo waweza kuzitumia kukupa mwanga kwamba tayari una ujauzito. Je Kila Mwanamke Anaweza Kupata Dalili Za Mimba Mapema? Kila mwanamke anatofautiana na mwingine kimaumbile. Kuna wengine hawapati dalili kabisa hata…

    Read More »
  • dalili za ukimwi

    Dalili Kuu Za Ukimwi Wiki Za Mwanzo

    Dalili Kuu Za Ukimwi Wiki Za Mwanzo Je nini maana ya UKIMWI? UKIMWI ni ufupisho wa maneno Upungufu Wa Kinga Mwilini. Ukimw husababishwa na aina ya virusi inayojulikana kwa jina la VVU yaani Virusi vya ukimwi. Historia ya Ukimwi imeanza zamani sana toka miakaya 1950. Kuna nadharia nyingi sana kuhusu chanzo na asili ya ukimwi. Kisayansi nadharia inayokubalika ni kuwa…

    Read More »
  • Siku Za Kushika Mimba

    Siku Za Hatari Na Siku Za Kushika Mimba

    Siku Za Kushika Mimba Kila mwanamke ana siku yake ambayo ni hatari zaidi kushika mimba. Siku hii inaweza kufanana na mwanamke mwingine ambaye anafanana naye mahesabu. Hata hivyo wanaweza kutofautiana kutokana na vyakula, maumbile na hali za maisha. Hapa nitakuletea orodha ya siku hatari za mwanamke. Nini maana ya siku hatari? Hizi ni siku ambazo mwanamke anakadiriwa kupata ujauzito. Ni…

    Read More »
  • kupunguza matiti na kusimamisha

    Jinsi Ya Kupunguza Matiti Na Kusimamisha Saa 6

    Kupunguza Matiti Na Kusimamisha Kuna sababu kadhaa za kulegea kwa matiti yako kama vile kunyonyesha, lishe duni, magonjwa, kuvaa sidiria isiyofaa, kukoma hedhi nk. Siku hizi kuna njia kadhaa za kusimamisha matiti ikiwemo upasuaji ambao ni ghari sana na ina madhara. Yanini sasa upate madhara na kugharamia bei kubwa wakati kuna njia za asili unazoweza kuzitumia nyumbani kwako kusimamisha matiti.…

    Read More »
  • Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi

    Uhakika Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi

    Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi Miaka ya zamani, tumbo kubwa lilihusishwa na utajiri, au uwepo wa mafanikio kwenye maisha. Mambo yamebadilika. Tumbo kubwa huondoa urembo kwa wanawake, au utanashati kwa wanaume. RELATED: Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo Zifuatazo ni Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi. 1. Kunywa Maji Mengi Kunywa maji mengi mara kwa mara kwa…

    Read More »
  • dawa 10 hatari kwa mama mjamzito

    Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito

    Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumboni. Zifuatazo ni Dawa 10 Hatari Kwa Mama Mjamzito . 1. Albendazole; hii ni dawa ya minyoo ambayo hutumika mara kwa mara…

    Read More »
  • Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo

    Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo

    Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo Aina Za Vidonda Vya Tumbo: Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni; 1) Vidonda Vya Tumbo Kubwa. Hivi ni vidonda ambavyo tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach). Vidonda hivi vya tumbo hujulikana kwa kitaalamu kama Gastric ulcers. Peptic ulcers 2) Vidonda Vya Utumbo Mdogo. Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye…

    Read More »
  • dawa asili vidonda vya tumbo

    Dawa Za Asili Za Vidonda Vya Tumbo Sugu

    Dawa za Asili za Vidonda Vya Tumbo Sugu Kabla hatujaangazia Dawa Ya Asili Ya Vidonda Vya Tumbo Sugu Tuangalie Aina ya Vidonda Vya Tumbo. Aina Za Vidonda Vya Tumbo: Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni; 1) Vidonda Vya Tumbo Kubwa. Hivi ni vidonda ambavyo tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach). Vidonda hivi vya tumbo hujulikana…

    Read More »
  • dalili 7 za vidonda vya tumbo na tib

    Dalili 7 za Vidonda Vya Tumbo Pamoja na Tiba

    Dalili 7 za Vidonda Vya Tumbo na Tiba Leo Tumekuletea aina ya Dalili zinazosababisha Vidonda hivi Vya Tumbo na Tiba, Kwanza Tuangalie Aina ya Vidonda Vya Tumbo. Aina Za Vidonda Vya Tumbo: Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni; 1) Vidonda Vya Tumbo Kubwa. Hivi ni vidonda ambavyo tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach). Vidonda hivi…

    Read More »
  • majina mazuri ya watoto wa kiume wa waislamu

    Majina Mazuri Ya watoto wa Kiume wa Waislamu

    Majina Mazuri Ya watoto wa Kiume Kumbuka: Matamshi halisi ya kila jina yanategemea lugha ya awali. Majina ya Kiislam hawana haja ya kuwa majina ya Kiarabu ; wanaweza kuja kutoka kwa lugha nyingine kwa muda mrefu kama wana maana nzuri. Lugha zingine hazina sawa na Kiingereza kwa kila barua, hivyo hutafsiriwa katika barua za Kiingereza hapa na spelling halisi inaweza…

    Read More »
  • majina mazuri ya watoto wa kike wa waislamu

    Majina Mazuri Ya watoto wa Kike wa Waislamu

    Majina Mazuri Ya watoto wa Kike Orodha ya alfabeti ya majina ya kawaida kwa wasichana wachanga katika familia za Kiislam Watoto katika familia za Kiislam wanapaswa kupewa jina ambalo lina maana muhimu . Orodha hii ya alfabeti ina majina ya kawaida ya Kiislamu ya kike, ili kukusaidia kuanza mchakato mgumu wa kuchagua jina kwa msichana wako. Kumbuka: Matamshi halisi ya…

    Read More »
  • jinsi ya kupata watoto mapacha

    Njia 10 Jinsi ya kupata watoto mapacha

    Jinsi ya Kupata Watoto mapacha Tati zinaonesha kwamba uwezekano wa mwanamke mmoja kubeba mimba ya mapacha ni 3%, na kuna njia mbalimbali zinaweza kuongeza uwezekano huu mpaka asilimia tano au 10. Also You Can Read This: Jinsi ya Kuandika Barua ya kazi (Mifano) Baadhi ya wanawake wanatamani kuwa na mapacha, lakini licha ya uzuri wa mapacha, wanawake wengine hawataki kabisa…

    Read More »