Download | Ruby x Kusah Nadondosha | Mp3 Audio
Related: Kusah I Dont Care
Nadondosha lyrics
Oh baba siku hizi bila pesa hakuna mahaba
japo usawa unakaba leta hata kiduchu kwangu si haba
oh baba siku hizi bila pesa hakuna mahaba
Mi mwenyewe mzuri kama nini nahitaji manyenyekeo
Gari huna hata pikipiki huna kaka utaniweza wapi
mwanaume gani unaringia jina
nyumba huna we hata kiwanja huna
Nadondosha (nadondosha nadondosha nadondosh)
Related Ruby Songs